Burudani

BBA: Laveda na Permithias wabusiana kama wamebakiza siku moja ya kuishi (Picha)

Hakuna siri kuwa siku za kuendelea kuwepo kwa mwakilishi wa Tanzania, Laveda kwenye shindano la Big Brother Africa Hotshots zinahesabika.

10626795_10152469629983811_2142228079077353680_n

Baada ya kukwepa eviction wiki iliyopita, wiki hii alirejea tena kikaangoni na huenda mashabiki wa shindano hilo wameanza kuchoka kelele zake za saxophone kwakuwa wamekuwa wakimtaja zaidi kuwa wangependa kuona anafungasha virago.

Hata hivyo hilo halimpotezei haki yake ya kufurahia maisha ya mjengoni na fursa ya kupata mtu wa kumliwaza. Bahati hiyo imemwangukia Permithias ambaye alijikuta akibadilishana mate na Laveda kama vile wamebakiza siku moja ya kuishi.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents