Burudani

BBA Hotshots: Laveda hatarini tena kutoka wiki hii, kura yako inahitajika

Baada ya kuponea kwenye tundu la sindano wiki iliyopita na kubaki kwa wiki nyingine ya tatu kwenye shindano la Big Brother Afrika ‘Hotshots’, mshiriki kutoka Tanzania Laveda ameongoza tena kupigiwa kura na washiriki wenzake za kupendekezwa kutoka wiki hii.

Laveda2

Hivi ndivyo kura zilivyopigwa:

Laveda – 11
Nhlanhla – 8
Permithias – 7
JJ-4
Alusa-3
M’am Bea-3
Ellah-3
Kacey – 2
Idris – 1.

Endelea kumpigia kura Laveda ili anendelee kubaki mjengoni kwa kuandika neno VOTE likifatiwa na jina LaVeda unatuma kwenda number 15426 utakatwa sh 600 tu.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents