Burudani

Barnaba wa THT apata shavu la show Marekani, kuondoka leo (April 19)

Baada ya Diamond, Ommy Dimpoz na Ben Pol shavu jingine limemdondokea Msanii Barnaba Boy wa THT, ambaye amesema anatarajia kusafiri leo (April 19) kuelekea nchini Marekani alikopata dili la show.

Barnaba

Akizungumza wakati wa kutambulisha video yake mpya ya ‘Jasho la mnyonge’ jana kupitia kipindi cha FNL cha EATV, Barnaba amesema show hiyo itafanyika New York baada ya Easter.

“Kwahiyo naenda kwenye show nimepata show New York,” alisema Barnaba. “sasa inanibidi niondoke kesho, show ni baada ya Easter kwahiyo Easter inabidi itanikuta kule…wenye event wanataka niende mapema kwasababu wanataka niwepo kidogo…Mungu akipenda jioni.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents