Habari

Barnaba kuachia video mpya ya ‘Wahalade’ kesho (July 25)

Mwimbaji na mwandishi wa nyimbo Barnaba Elias, kesho (July 25) anatarajia kuachia video mpya ya single yake ‘Wahalade’ ambayo tayari imeshatoka kwenye vituo vya radio.

b

Video ya ‘Wahalade’ itawaonesha wazazi wa mtoto Steve katika upande wao wa pili (kikazi) sababu model aliyehusika kwenye video ni baby mama wa Barnaba a.k.a mama Steve.

“Kesho Kuanzia saa 8 mchana Video ya #Wahaladee itakuwa kila Kona Ya TV yako naomba saport yako ukiwa mama mshabiki wa kweli kabisa na Unapenda Muziki wa nyumbani Asante sana @mxcater na Team #Slide na watu wote mliofanikisha hii kitu” Barnaba ameandika Instagram.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents