Burudani

Barnaba kuachia album yake mpya ‘Nimeona’

Barnaba ataachia album yake mpya iitwayo ‘Nimeona’ baadaye mwaka huu. Muimbaji na mwandishi huyo mahiri wa nyimbo amesema ‘Nimeona’ itakuwa na jumla ya nyimbo 10.

ca17518aa22911e388461216e3bba0d3_8

“Mimi naamini itakuwa ni album ya pekee kabisa, humo ndani kutakuwa na nyimbo 10, tano acoustic version kwa international, tano ni Bongo Flava na muziki wa nyumbani,” Banaba ameiambia Bongo5.

Msanii huyo amedai kuwa album hiyo itakuwa na kiwango cha kimataifa na anaamini watu wataipenda.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents