Burudani
Baghidad aachana na utangazaji
Mwanamuziki kutoka kundi la Mexicana Lacavera Praygod Kweka maarufu kama Baghidad au Biggie au Baba Ritta pia aliyekuwa presenter katika kipindi cha Klabu kumi cha Clouse Fm kilichokuwa kikirushwa kila juma mosi. ametangaza rasmi kuachana na kazi ya Presenter na kujikita zaidi kwenye muziki.
Msanii huyo alinieleza kwa ufupi kwamba hatoweza tena kuendelea na utangazaji, lakini hakusema kwanini amefanya hivyo ila aliishia kwamba kwa sasa ni msanii na wala hausiki na utangazaji. kwa mengi zaidi kama ‘ataongea basi tutawafikishia ni hayo tu……