Bongo Movie

Baba Haji ajiandaa kuitwa baba

Haji_adam_face

Mkali wa filamu za hisia hasa unapofika katika suala la kubembeleza Haji Adamu baba Haji, ameweka wazi kile ambapo alikuwa amekificha kwa muda mrefu kwamba mkewe Ratifa Mohamedi kwa sasa anaujauzito mkubwa ambao anatarajia muda si mrefu atapata mtoto. Mwigizaji huyo amesema tayari mwanaye ameshamchagulia jina ambalo atampa jina la mtoto wa mwigizaji na mwanamuziki mkongwe wa Marekani Will Smith, Willow Smith

Adam anasema kwamba hivi sasa wanatarajia kuachia filamu yake mpya itakayotoka katika kampuni yake mpya ya Pangani River Cinema, ambayo wameiunda na mkewe ili kuweza kuinua tasnia ya filamu Bagamoyo.
Mwigizaji huyo amesema kampuni yake itaongozwa kisomi kwakuwa, mkewe anaelimu ya Uandishi na yeye anaelimu ya Sanaa.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents