Habari

B12 wa Clouds FM aingia kwenye list ya Channel O ya watangazaji wa radio 10 bora Afrika

Mtangazaji wa Clouds FM, Hamis Mandi aka B12 amekamata nafasi ya 9 kwenye orodha ya watangazaji wa radio 10 bora barani Afrika kwenye kipindi cha Top Ten Most cha Channel O.

Channel-O-Top-10-Most

Kipindi hicho kinachorushwa kila Jumapili na kuongozwa na Jokate Mwegelo na Denrele Edun wa Nigeria huangalia watu 10 maarufu kwenye burudani, fashion na mambo mengine barani Afrika.

10

Jumapili iliyopita, Top 10 Most ilikuwa na list ya‘African On-Air Personalities’ na kuangalia watangazaji 10 wa radio wanaofanya vizuri, kukubalika nchini mwao na ambao vipindi vyao vimeleta mchango mkubwa katika muziki.

Hii ni list nzima:

10. Shaffie Weru – Kenya

shaffie

9. Hamis Mandi aka B-Dozen

b084a754e30211e2ab6822000a1fb191_7

Ni mtangazaji wa Clouds FM, anatangaza kipindi maarufu nchini cha XXL.

“Nataka Nianze kwa kusema ASANTE sababu bila wewe nisingeweza kufika hapa ambapo nimefika, Jana CHANNEL O AFRICA iliniweka kwenye LIST ya MAPREZENTA KUMI BORA AFRICA, “TOP MOST ON AIR PERSONALITIES” najiskia vizuri ki ukweli,” aliandika baada ya show hiyo.

8 Miss Na – Ghana

7. Conrad Gray aka G- Money – Kenya

g money

Ni mtangazaji wa kipindi cha asubuhi cha Homeboyz Radio.

6. Mckenzie – Bryan Mckenzie – Uganda

mckenzie-final

Bryan Mckenzie ambaye jina lake halisi ni Bryan William Sabiti ni mtangazaji maarufu nchini Uganda na anajulikana pia kwa kazi za uemcee jijini Kampala. Ni mtangazaji wa Radio City 97Fm.

5 DJ Black Joy FM – Ghana

dJ bLACK

Akizaliwa kama Kwadwo Ampfo, DJ Black ambaye huendesha kipindi cha Open House Party kila Jumamosi kwenye kituo cha radio cha Joy FM, amegeuka kuwa dj namba moja nchini humo ambapo mwaka huu alishinda tuzo ya dj bora wa Ghana.

4. Glen and Unathi -Metro FM, Afrika Kusini

Glen AND uNATH

Watangazaji hawa huendesha kipindi maarufu cha jioni kiitwacho The Avenue.

3. Mr Deejay – Uganda

MR DJ

Ni mtangazaji wa kipindi cha Saturday Night Mixshow cha Radiocity 97fm. Baada ya kuwekwa kwenye list hiyo, Dj huyo aliandika kwenye website yake:

Channel O have a weekly show called “Top ten Most” on which they rank the top ten in various categories over the continent. Last week they featured on-air radio personalities and guess who came in at number 3!!! 🙂

I was chuffed just to be included on the list, but to come in at number 3 was an unexpected and very welcome surprise. AND, making the whole thing even better, Mckenzie, my fellow presenter at Radiocity, came in at number 6. Number 6!! In the whole of Africa!!! (Mckenzie doesn’t know this but before I started in radio I used to listen to him a lot).

Radiocity had two presenters on the top ten list and I don’t think that is a coincidence. It is a GREAT place to work. It starts at the top with the owners who are extremely relaxed, continues right thru to the PD who allows the on-air talent to express themselves, and to my fellow on-air presenters, who all genuine and fun to be around.

Radiocity lets me be me, and that makes working there a real pleasure. I truly believe that listeners can tell the difference between a presenter that’s just going thru the motions and one that actually enjoys what they are doing.

I’M NUMBER THREE!!!
I’M NUMBER THREE!!!
I’M NUMBER THREE!!!
WOOHOO!!!

Ok, time to get back to work. That number 1 spot isn’t going to earn itself. 🙂

2. IK – Nigeria

ik-osakioduwa-1

Ikponmwosa Osakioduwa aka IK anafahamika zaidi kama host wa Big Brother Africa. Ni mtangazaji wa kituo cha radio cha Rhythm 93.7fm na Studio 53 ya Mnet.

1 Toolz – Nigeria

Toolz-photoshoot-with-Moussa-Moussa-1-419x600

Ni mtangazaji wa kipindi chake kiitwacho ‘The Midday Show with Toolz’ (weekdays) kwenye radio inayosikilizwa zaidi nchini Nigeria ya The Beat 99.9FM na pia ni host wa show Host of X-Factor West Africa.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents