Michezo

Azam FC wachukua ubingwa wa kombe la Mapinduzi kwa kuifunga Simba fainali

Klabu ya soka ya Azam FC imefanikiwa kutwaa kombe la Mapinduzi baada ya kuifunga Simba SC kwa bao 1-0 katika mchezo wa fainali uliochezwa usiku wa Ijumaa hii huko visiwani Zanzibar.

Bao la ushindi la Azam lilifungwa na Himidi Mao katika dakika ya 12 ya mchezo kwa kupiga shuti kali. Ushindi huo wa Azam umeifanya kuweka rekodi mpya katika mashindano hayo kwa kucheza mechi zote bila ya kufungwa bao hata moja.

Tazama picha za Azam wakishangilia ushindi huo.

Picha katika akaunti ya Instagram ya Azam FC

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents