Habari

AY awakumbuka Ngwair na Langa kwenye ‘Sijakusahau ya Crème De La Crème

Ambwene Yessayah aka AY hajawasahau Albert Mangwair na Langa Kileo.

12256721_1652128261718442_1361362012_n

Kupitia wimbo wa DJ wa Kenya, Crème De La Crème ‘Sijakusahau’ hitmaker huyo wa Zigo amewakumbuka rappers hao waliotangulia mbele ya haki.

“Naiona sura ya Ngwair na Langa (Tazama anga), Nakumbuka tuliyopanga lakini Mungu alipanga pia, tuliongazana wengine wakadisappear, daima uzuri umenitanda na moyoni nawalilia,” anarap AY.

Ngwair alifariki May 28, 2013 na Langa June 13, 2013.

Pia AY amewakumbuka wazazi wake kwenye wimbo huo ambao wasanii wengine walioshirikishwa ni Prezzo, Bigpin na Ulopa.

Prezzo amemkumbuka baba yake pamoja na aliyekuwa mpenzi wake Goldie wa Nigeria. Usikilize hapo chini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents