Burudani

AY atoa ushauri, ‘Sio kila wimbo unapendeza kuwa na video iliyofanyika nje ya nchi’

Ambwene Yesaya aka AY ametoa ushauri kwa wasanii wanaokwenda kufanya video zao nje ya nchi kuwa kuna nyimbo ambazo hazipendezi kuwa na video zilizofanyika huko.

AY

Akiongea na Bongo5, AY ambaye ndiye msanii wa kwanza kushoot video zenye gharama kubwa ya nje ya nchi, amedai kuwa kuna nyimbo ambazo zinapendeza kuwa na video zilizofanyika nyumbani. “Video ni kama audio,” anasema AY. “Audio ukiiskiliza hivi kuna ngoma yako kali unajua kabisa ‘dah hii Majani hii, au Marco hii, au beat hili hapa Manecky ili.”

AY amesema kuwa hata kwa upande wa kupata picha nzuri, kuna aina ya nyimbo ambazo ili kupata video nzuri ni muhimu kuifanyia Tanzania.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents