Burudani

AY aahidi kuachia wimbo wake mpya aliomshirikisha Nyashinski wiki ijayo

Rapper Ambwene Yessaya maarufu kama AY ameahidi kuachia wimbo wake mpya wiki ijayo aliomshirikisha Nyashinski wa Kenya.

Hitmaker huyo wa El Chapo amethibitisha hilo kupitia ujumbe aliouandika katika picha moja aliyoiweka katika mtandao wa Instagram akiwashukuru mashabiki wa Kenya kwa kuendelea kumpa support.

“Thanks kwa hii Love Mombasa Kenya ???????????????? Habari zikufikie hivi punde kuwa next week nataka kuyafurahisha masikio yako kwa muziki mzuri Featuring NYASHINSKI @realshinski #staytuned ???????? x ????????,” ameandika AY katika picha hiyo hapo juu katika mtandao huo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents