Mtanzania adaiwa kuuawa kwa kupigwa risasi Afrika Kusini, Balozi afunguka
Habari
4 weeks ago
Mtanzania adaiwa kuuawa kwa kupigwa risasi Afrika Kusini, Balozi afunguka
Mtanzania ambaye amefahamika kwa jina la Michael (Mike) anadaiwa kuuawa kwa kupigwa risasi na rafiki yake huko Afrika Kusini baada…
Aliyemdanganya mwanafunzi atamuoa ahukumiwa miaka 30 jela
Habari
4 weeks ago
Aliyemdanganya mwanafunzi atamuoa ahukumiwa miaka 30 jela
Mahakama ya Wilaya ya Momba mkoani Songwe tarehe 19 Machi 2024 imemhukumu mshtakiwa Stanford Theobert (19) Mkulima, mkazi wa Maporomoko,…
Halmashauri zatakiwa kurejesha fedha za mikopo ya KKK kupitia vyanzo vingine
Habari
4 weeks ago
Halmashauri zatakiwa kurejesha fedha za mikopo ya KKK kupitia vyanzo vingine
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Geophrey Pinda ameziagiza halmashauri zote nchini zilizokopeshwa fedha kwa ajili ya…
CCM yashinda udiwani Kigoma ujiji
Habari
4 weeks ago
CCM yashinda udiwani Kigoma ujiji
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kimeshinda kiti cha udiwani katika Kata ya Kasingirima Manispaa ya Kigoma Ujiji, baada ya mgombea wa…
Korea Kusini watoa msaada wa vifaa vya zaidi ya Bilioni moja kwa Tantrade
Habari
March 19, 2024 - 3:16 pm
Korea Kusini watoa msaada wa vifaa vya zaidi ya Bilioni moja kwa Tantrade
SERIKALI ya Korea Kusini imetoa msaada wa vifaa mbalimbali venye thamani ya zaidi ya Bilioni moja kwa Mamlaka ya…
Ahukumiwa miaka 25 jela kwa kukutwa na Kilo 107.29 za bangi
Habari
March 19, 2024 - 3:00 pm
Ahukumiwa miaka 25 jela kwa kukutwa na Kilo 107.29 za bangi
MAHAKAMA Kuu ya Tanzania, kanda ya Morogoro imemhukumu miaka 25 jela John Mwaseba Mwasikili baada ya kutiwa hatiani kwa kosa…
Wagombea udiwani 127 kupigiwa kura kesho
Habari
March 19, 2024 - 2:21 pm
Wagombea udiwani 127 kupigiwa kura kesho
Wagombea udiwani 127 kutoka vyama 18 vya siasa wanatarajiwa kupigiwa Kura katika Uchaguzi Mdogo wa Udiwani katika kata 22 za…
Benki ya Exim yaandaa iftar kwa wadau wake wote
Habari
March 17, 2024 - 10:27 am
Benki ya Exim yaandaa iftar kwa wadau wake wote
Benki ya Exim imeandaafutari ya pamoja kwa wateja wake katika hafla iliyofanyikakatika hoteli ya Serena, jijini Dar es Salaam mnamo…
Benki ya Mwalimu yazindua bidhaa mpya kwa ajili ya wanawake, vijana
Habari
March 16, 2024 - 5:56 pm
Benki ya Mwalimu yazindua bidhaa mpya kwa ajili ya wanawake, vijana
KATIKA kumuunga mkono Rais Dkt Samia Suluhu Hassan katika ajenda ya kuinua wanawake nchini, Benki ya Mwalimu Commercial imezindua bidhaa…
Rais Samia akutana na marais Ruto, Museveni
Habari
March 15, 2024 - 1:12 pm
Rais Samia akutana na marais Ruto, Museveni
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wageni wake Rais Yoweri Museveni wa Uganda…
Waziri Ummy aziagiza hospitali zote za rufaa za Mikoa kutumia mifumo ya Tehama
Habari
March 15, 2024 - 11:44 am
Waziri Ummy aziagiza hospitali zote za rufaa za Mikoa kutumia mifumo ya Tehama
Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu amezitaka Hospitali zote za Rufaa za Mikoa nchini kuanza kutumia mifumo ya TEHAMA ili…
Waiomba Serikali kuboresha mazingira ya ufanyaji biashara mipakani
Habari
March 15, 2024 - 11:31 am
Waiomba Serikali kuboresha mazingira ya ufanyaji biashara mipakani
WADAU wa Maendeleo nchini wameiomba Serikali kuona umuhimu wa kuboresha mazingira ya ufanyaji biashara za kuvuka mipaka ikiwemo ya kuwa…
Sherehe ya kuadhimisha miaka 40 tangu kuanzishwa kwa Shincheonji
Habari
March 15, 2024 - 10:53 am
Sherehe ya kuadhimisha miaka 40 tangu kuanzishwa kwa Shincheonji
Mnamo Machi 14, sherehe ya kuadhimisha kumbukumbu ya miaka 40 ya uanzilishi ulifanyika katika kituo cha mafunzo ya Amani cha…
Exaud: Mabadiliko ya sera yatasaidia urahisishaji biashara mipakani
Habari
March 15, 2024 - 10:32 am
Exaud: Mabadiliko ya sera yatasaidia urahisishaji biashara mipakani
MKURUGENZI wa Shirika la Liberty Spark nchini, Evance Exaud amesema uwepo wa mabadiliko ya sera ni njia ya moja kwa…
Sherehe za kuadhimisha kumbukumbu ya miaka 8 ya Azimio la Amani la HWPL, na Kutokomeza Vita
Habari
March 15, 2024 - 9:18 am
Sherehe za kuadhimisha kumbukumbu ya miaka 8 ya Azimio la Amani la HWPL, na Kutokomeza Vita
Uliofanyika chini ya mada ya ‘Kujenga Roho ya Amani: Mazungumzo ya Kitamaduni na Uelewa kwa Amani ya Taasisi’ Kudumisha utaratibu…