Waziri mkuu mpya Haiti aahidi uchaguzi haraka
Habari

Waziri mkuu mpya Haiti aahidi uchaguzi haraka

Waziri Mkuu mpya wa Haiti, Ariel Henry  ameahidi kufanyika uchaguzi wa haraka wa Taifa hilo, kufuatia kuuwawa kwa aliyekuwa Rais…
Viongozi wa dini waikubali chanjo ya corona, waeleza sababu
Habari

Viongozi wa dini waikubali chanjo ya corona, waeleza sababu

Viongozi wa umoja wa dini mbalimbali umesema msimamo wao katika mapambano ya ugonjwa wa Covid-19 ni kusikiliza sauti za wataalamu…
Makamba amtaka Gwajima kuacha kupotosha Umma
Habari

Makamba amtaka Gwajima kuacha kupotosha Umma

January Makamba amejibu kauli zenye utata za Mbunge na Mchungaji Askofu Gwajima alizozitoa kuwashawishi wananchi kuikataa chanjo ya COVID19. Kupitia…
Flani arudi kivingine baada ya kufanya kazi na producer Deey Classic
Burudani

Flani arudi kivingine baada ya kufanya kazi na producer Deey Classic

Msanii Wa Muziki Mwenye Asili Ya Nchini Kenya Ambaye Amekuwa Akifanya Mziki Kwa Miaka Kadhaa Na Kuelekeza Talanta Yake Nchini…
Simbachawene amgeukia bosi NIDA
Habari

Simbachawene amgeukia bosi NIDA

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mh.George Simbachawene, amemtaka Mkurugenzi mkuu wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kujitathmini…
Deni la Kijiji lilipwe ndani ya siku 60 -Waziri Biteko
Habari

Deni la Kijiji lilipwe ndani ya siku 60 -Waziri Biteko

Waziri wa Madini, Doto Biteko ameuagiza uongozi wa kampuni ya uchimbaji wa madini ya Dhahabu MMG GOLD LIMITED unaomilikiwa kwa…
China yashutumiwa kwa udukuzi wa Kimataifa
Habari

China yashutumiwa kwa udukuzi wa Kimataifa

Nchi ya Marekani na washirika wake, wameishutumu China kwa kuendesha kampeni ya kimataifa ya upelelezi wa mitandaoni. Marekani iliungana na…
Rais wa Olimpiki awapongeza wahudumu
Habari

Rais wa Olimpiki awapongeza wahudumu

Rais wa Kamati ya Kimataifa ya Olimpiki – IOC Thomas Bach, amewasifia wahudumu wa matibabu na wafanyakazi wa kujitolea kwa…
Hatma ya Serikali mpya Haiti, kujulikana leo
Habari

Hatma ya Serikali mpya Haiti, kujulikana leo

Waziri Mkuu wa mpito wa Haiti Claude Joseph, ambaye ameiongoza nchi hiyo tangu kutokea kwa mauaji ya Rais Jovenel Moise,…
CCM yaibuka kidedea uchaguzi jimbo la Konde
Habari

CCM yaibuka kidedea uchaguzi jimbo la Konde

Chama cha Mapinduzi (CCM), kimeibuka na ushindi katika uchaguzi mdogo Jimbo la Konde visiwani Zanzibar, baada ya mgombea wake Sheha…
Serikali Kuokoa Bilioni 33 kwa mwaka, Ujenzi wa kiwanda cha Dawa Makambako
Habari

Serikali Kuokoa Bilioni 33 kwa mwaka, Ujenzi wa kiwanda cha Dawa Makambako

Serikali itaokoa Bilioni 33 kwa mwaka kwa ajili ya ununuzi wa Dawa na Vifaa tiba baada ya kukamilika kwa ujenzi…
Mahujaji 60,000 pekee washiriki Hijja mwaka huu
Michezo

Mahujaji 60,000 pekee washiriki Hijja mwaka huu

Mahujaji Jumapili waliondoka  kwenye mji mtakatifu wa Mecca nchini Saudi Arabia  kuelekea  Mina ikiwa kama sehemu ya  ibada ya hijja ambayo kwa mwaka…
Misri yawaachia huru Wanaharakati waliokuwa kizuizini
Habari

Misri yawaachia huru Wanaharakati waliokuwa kizuizini

Misri jana imewaachilia huru wanaharakati sita akiwemo mwandishi habari Bi.Esraa Abdel-Fattah, ambaye alikuwa akitazamwa kama mchochezi mkuu wa vuguvugu la…
Kesi ya Zuma kuendelea leo licha ya vurugu Afrika Kusini
Habari

Kesi ya Zuma kuendelea leo licha ya vurugu Afrika Kusini

Kesi ya muda mrefu ya rushwa inayomkabili rais wa zamani wa Afrika Kusini aliyeko jela Jacob Zuma itaendelea leo kwa…
Merkel aahidi msaada kwa waathirika wa mafuriko Ujerumani
Habari

Merkel aahidi msaada kwa waathirika wa mafuriko Ujerumani

Kansela wa Ujerumani, Angela Merkel amesema Serikali itashirikiana bega kwa bega na Majimbo ya Magharibi mwa Ujerumani yaliyoathirika kwa mafuriko…
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents