Katie Price asherehekea birthday yake kwa picha za utupu
Burudani

Katie Price asherehekea birthday yake kwa picha za utupu

Umaarufu humpelekea mtu kufanya kitu ambacho muda mwingine hakutarajia kukifanya. Mwanamitindo na mtangazaji maarufu wa Uingereza, Katie Price amefanya kitu…
Diamond atangaza ujio wa tamasha la Wasafi Festival mwaka huu
Burudani

Diamond atangaza ujio wa tamasha la Wasafi Festival mwaka huu

Diamond Platnumz ni mfanyabiashara ambaye anatumia kila fursa inayopita mbele yake bila ya kuogopa chochote. Msanii huyo ametangaza ujio wa…
RIPOTI: Ariana Grande na Pete Davidson ni wapenzi
Burudani

RIPOTI: Ariana Grande na Pete Davidson ni wapenzi

Mapenzi kama daladala ukishuka mwenzako anakaa. Ariana Grande anadaiwa kuwa na mpenzi mpya ambaye ni muigizaji na mchekeshaji, Pete Davidson.…
Cazorla apewa mkono wa kwaheri Arsenal
Michezo

Cazorla apewa mkono wa kwaheri Arsenal

Klabu ya soka ya Arsenal imethibitisha kuwa wamemuacha rasmi kiungo wao Santi Cazorla. Arsenal wamethibitisha hilo kupitia taarifa waliyoitoa kwenye…
Video: Zlatan ageuza ligi ya Marekani uwanja wa ngumi
Michezo

Video: Zlatan ageuza ligi ya Marekani uwanja wa ngumi

Japo umri umeonekana kuwa mkubwa kwa Zlatan Ibrahimovic lakini bado hajaacha utukutu wake hata kidogo. Mchezaji huyo jana alijikuta akitolewa…
Picha: John Legend na Chrissy Teigen wamuonyesha hadharani mtoto wao wa pili
Burudani

Picha: John Legend na Chrissy Teigen wamuonyesha hadharani mtoto wao wa pili

John Legend na mke wake Chrissy Teigen wameonyesha sura ya mtoto wao kwa mara ya kwanza. Mtoto huyo wa kiume…
Nicolas Maduro ashinda uchaguzi kwa kishindo Venezuela
Habari

Nicolas Maduro ashinda uchaguzi kwa kishindo Venezuela

Rais wa Venezuela Nicolas Maduro ameshinda tena kiti cha Urais kuiongoza nchi hiyo kwenye uchaguzi uliofanyika Jumapili hii. Kwa mujibu…
Gharama za harusi ya Prince Harry na Meghan Markle ni kufuru
Habari

Gharama za harusi ya Prince Harry na Meghan Markle ni kufuru

Jumamosi iliyopita ilishuhudiwa sherehe kubwa ya harusi iliyoteka dunia kwa muda iliyokuwa inamuhusu Prince Harry na mpenzi wake wa muda…
Picha: Andres Iniesta alivyoagwa na Barcelona kwenye mechi yake ya mwisho
Michezo

Picha: Andres Iniesta alivyoagwa na Barcelona kwenye mechi yake ya mwisho

Usiku wa jana Andres Iniesta alicheza mechi yake ya mwisho akiwa na Barcelona baada ya miaka 22 akiwa na timu…
Hawa ndio washindi wa tuzo za Billboard Music Awards 2018, Kendrick Lamar na Ed Sheeran hawakamatiki
Burudani

Hawa ndio washindi wa tuzo za Billboard Music Awards 2018, Kendrick Lamar na Ed Sheeran hawakamatiki

Usiku wa Jumapili hii zimefanyika sherehe za utoaji wa tuzo za Billboard Music Awards 2018 kwenye ukumbi wa MGM Grand…
LIVE: Tazama hapa ndoa ya Prince Harry na Meghan Markle
Habari

LIVE: Tazama hapa ndoa ya Prince Harry na Meghan Markle

Jumamosi hii ya Mei 19, Prince Harry na Meghan Markle wanafunga ndoa. Tazama hapa chini moja kwa moja ndoa hiyo…
Simba na Kagera Sugar waweka hadharani vikosi vyao vitakavyochuana leo
Michezo

Simba na Kagera Sugar waweka hadharani vikosi vyao vitakavyochuana leo

Mabingwa wapya wa kombe la ligi kuu Tanzania Bara, Simba SC, na klabu ya Mtibwa Sugar wameweka hadharani majina ya…
Watu 100 wafariki dunia kwenye ajali ya ndege
Habari

Watu 100 wafariki dunia kwenye ajali ya ndege

Watu zaidi ya 100 wamedaiwa kufariki dunia katika ajali ya ndege aina ya Boeing 737 iliyoanguka mjini Havana, Cuba Ijumaa…
Picha: Atletico Madrid walivyotembeza kombe la Europa League mitaani
Michezo

Picha: Atletico Madrid walivyotembeza kombe la Europa League mitaani

Klabu ya ska ya Atletico Madrid ya Hisania, Ijumaa hii imelitembeza mitaani kombe la Europa League ambalo walishinda Jumatano ya…
Lady Jaydee ajipanga kufanya ziara ya Afrika
Burudani

Lady Jaydee ajipanga kufanya ziara ya Afrika

Malkia wa Bongo Fleva, Lady Jaydee amepanga kuanza ziara yake ya kimuziki katika bara la Afrika. Jaydee amthibitisha hilo kupitia…
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents