New Video: Lava Lava X Ricardo Momo – Ya Ramadan
Videos

New Video: Lava Lava X Ricardo Momo – Ya Ramadan

Msanii wa muziki Bongo Fleva kutoka WCB, Lava Lava na Ricardo Momo wamechia video ya wimbo wao mpya ‘Ya Ramadhan’…
Harmonize, Mr Flavour na Yemi Alade kuliamsha dude
Burudani

Harmonize, Mr Flavour na Yemi Alade kuliamsha dude

Mwaka 2018 unaweza ukawa ni wa neema kwa Harmonize. Msanii huyo ameonyesha ngoma nyingine ambayo amefanya na wasanii wakubwa wa…
Diamond aibua jipya tuhuma za Hamisa Mobetto kupigwa na Bi. Sandrah
Burudani

Diamond aibua jipya tuhuma za Hamisa Mobetto kupigwa na Bi. Sandrah

Tangu wiki iliyopita zimesambaa taarifa za Hamisa Mobetto kuchezea kipigo cha ‘Mbwa Koko’ kutoka kwa mama yake Diamond – Hata…
Simba na Yanga sio uadui, mwanangu mwenyewe wa kumzaa ni Yanga – Haji Manara
Michezo

Simba na Yanga sio uadui, mwanangu mwenyewe wa kumzaa ni Yanga – Haji Manara

Mkuu wa Kitengo cha Habari na Mawasiliano Simba, Haji Manara, amefunguka kuhusu matusi anayoyapata kutoka kwa mashabiki wa Yanga. Akiongea…
Nicki Minaj abadili ratiba ya kuachia albamu yake mpya
Burudani

Nicki Minaj abadili ratiba ya kuachia albamu yake mpya

Nicki Minaj ameamua kubadilisha ratiba ya kuachia albamu yake mpya. Mapema mwezi huu katika onyesho la mitindo na mavazi Met…
Ronaldinho kuishangaza dunia mwaka huu
Michezo

Ronaldinho kuishangaza dunia mwaka huu

Tukio gani la Ronaldinho unalikumbuka? Basi achana na hilo, mchezaji huyo wa zamani wa Brazil na vilabu vikubwa Ulaya, amepanga…
Picha: Iniesta atua ligi ya Japan
Michezo

Picha: Iniesta atua ligi ya Japan

Mchezaji wa zamani wa Barcelona, Andres Iniesta amejiunga rasmi na klabu ya Vissel Kobe inayoshiriki ligi kuu ya nchini Japan.…
Nampenda Diamond kwa sababu ni mnyenyekevu, simpendi Alikiba ni kiburi – Mch. Anthony Lusekelo
Burudani

Nampenda Diamond kwa sababu ni mnyenyekevu, simpendi Alikiba ni kiburi – Mch. Anthony Lusekelo

Mchungaji wa Kanisa la Maombezi (GRC), Anthony Lusekelo maarufu kwa jina la Mzee wa Upako, amemtaja msanii ambaye anamkubali kati…
Rayvanny ataja wasanii watakaosikika kwenye Pochi Nene Remix, Bill Nass atoweka
Burudani

Rayvanny ataja wasanii watakaosikika kwenye Pochi Nene Remix, Bill Nass atoweka

Baada ya wimbo wa Pochi Nene wa Rayvaany ambao amemshirikisha S2kizzy kufanya vizuri kwenye klabu za usiku na mitaani, msanii…
Picha: Belle 9 ajiandaa kuachia video ya ngoma yake mpya
Burudani

Picha: Belle 9 ajiandaa kuachia video ya ngoma yake mpya

Ni miezi minne imepita tangu tuliposhuhudia video ya ngoma mpya ya Belle 9 ambayo inaitwa ‘Mfalme’ – Je unatamani kusikia…
Arsenal wamtangaza rasmi Unai Emery kumrithi Wenger
Michezo

Arsenal wamtangaza rasmi Unai Emery kumrithi Wenger

Klabu ya Arsenal imemtangaza Unai Emery kuwa kocha wao mpya ambaye anarithi mikoba ya Arsene Wenger. Arsenal wamethibitisha kumsajili Unai…
Promoter maarufu Rwanda ataja sababu za muziki wa nchi hiyo kutofanya vizuri
Burudani

Promoter maarufu Rwanda ataja sababu za muziki wa nchi hiyo kutofanya vizuri

Wakati Bongo Fleva imefanikiwa kufika sehemu kubwa japo kwa kidogo, Jay kalambe wa Rwanda ambaye ni mdau mkubwa wa muziki…
kila mtu anapenda kusaidiwa lakini kuna misaada mingine mpaka mtu unajuta – Shamsa Ford
Bongo Movie

kila mtu anapenda kusaidiwa lakini kuna misaada mingine mpaka mtu unajuta – Shamsa Ford

Nani amemuudhi Shamsa Ford? Msanii huyo wa filamu Bongo ameonyesha kukerwa na tabia za baadhi ya watu ambao wanatoa misaada…
Sergio Romero wa Man United kulikosa kombe la dunia mwaka huu
Michezo

Sergio Romero wa Man United kulikosa kombe la dunia mwaka huu

Ndoto za kila mchezaji ambaye timu yake ya taifa imefanikuwa kufuzu kombe la dunia, anahakikisha anacheza michuano hiyo ambayo itafanyika…
Unai Emery athibitisha kujiunga na Arsenal
Michezo

Unai Emery athibitisha kujiunga na Arsenal

Kocha Unai Emery ambaye amekuwa akitajwa kuifundisha Arsenal, amethibitisha kujiunga na timu hiyo. Unai ambaye hivi karibuni amemaliza mkataba wake…
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents