Video: Mtoto wa Waziri zamani kuachia filamu aliyooteshwa, afanya audition kuchagua waigizaji 15
Bongo Movie
May 30, 2018 - 11:20 am
Video: Mtoto wa Waziri zamani kuachia filamu aliyooteshwa, afanya audition kuchagua waigizaji 15
Mtoto wa Waziri wa zamani Stephen Wasira, Lilian Wasira, ameamua kuingia kwenye tasnia ya filamu na kueleza sababu zilizomfanya aingie…
Baada ya kupata kigugumizi cha ndoa, Rayvanny anyoosha maneno
Burudani
May 30, 2018 - 9:48 am
Baada ya kupata kigugumizi cha ndoa, Rayvanny anyoosha maneno
Baada ya Rayvanny kupata kigugumizi kuhusu kufunga ndoa na mpenzi wake Fahyma, sasa ameweka mambo wazi. “Yeah, Mungu akijalia lakini…
Pusha-T amchana Drake kwenye ngoma yake mpya, isikilize hapa
Burudani
May 30, 2018 - 9:34 am
Pusha-T amchana Drake kwenye ngoma yake mpya, isikilize hapa
Bifu jipya limeibuka kwenye muziki wa Hip Hop – Safari hii ni kati ya Pusha-T na Drake. Wawili hao wamezidi…
New Video: Mr D – Tabasamu Kaua
Videos
May 29, 2018 - 8:06 pm
New Video: Mr D – Tabasamu Kaua
Msanii Mr D ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Tabasamu Kaua’. Ngma hiyo imetayarishwa na Mr T touch wakati video…
Lady Jaydee aeleza A-Z kuhusu tour yake bara la Afrika (+Audio)
Burudani
May 29, 2018 - 11:01 am
Lady Jaydee aeleza A-Z kuhusu tour yake bara la Afrika (+Audio)
Hivi karibuni malkia wa Bongo Fleva, Lady Jaydee alitangaza kuanza kufanya ziara yake ya muziki katika bara la Afrika –…
Msanii wa filamu Bongo aeleza kilichomfanya ahamie kwenye uchekeshaji na kufanya kazi na wakongwe (+video)
Bongo Movie
May 29, 2018 - 10:39 am
Msanii wa filamu Bongo aeleza kilichomfanya ahamie kwenye uchekeshaji na kufanya kazi na wakongwe (+video)
Msanii wa filamu Bongo ambaye anaishi nchini Marekani, BMK Theoneste ameongea na Bongo5 na kufunguka sababu zilizomfanya ahamie kwenye upande…
Bilionea wa Chelsea Roman Abramovich apewa uraia Israel baada ya kutoswa Uingereza
Habari
May 29, 2018 - 8:31 am
Bilionea wa Chelsea Roman Abramovich apewa uraia Israel baada ya kutoswa Uingereza
Mmiliki wa klabu ya Chelsea ya Uingereza, bilionea mwenye asili ya Urusi, Roman Abramovich amepewa uraia wa nchini Israel. Imedaiwa…
Simba waizidi ujanja Yanga kwa Adam Salamba
Michezo
May 29, 2018 - 8:13 am
Simba waizidi ujanja Yanga kwa Adam Salamba
Mabingwa wapya wa ligi kuu Tanzania Bara, Simba SC, imefanikiwa kumsajili mchezaji hatari Adam Salamba kutoka Lipuli FC ambaye alitikisa…
New Video: Tommy Flavour – Do It
Videos
May 28, 2018 - 8:09 pm
New Video: Tommy Flavour – Do It
Msanii Tommy Flavour ameachia video ya wimbo wake mpya ‘Do It’ ambao umetayarishwa na Dedrey. Video ya ngoma hiyo imeongozwa…
Samatta aweka hadharani kikosi chake kitakachocheza na Alikiba
Michezo
May 28, 2018 - 3:08 pm
Samatta aweka hadharani kikosi chake kitakachocheza na Alikiba
Katika kuelekea mchezo maalum wa kukata na shoka wa kujitolea ili kuchangia elimu, mshambuliaji wa timu ya taifa na klabu…
Kala Jeremiah kuja na ‘Natabiri’ aliyomshirikisha Walter Chilambo
Burudani
May 28, 2018 - 2:51 pm
Kala Jeremiah kuja na ‘Natabiri’ aliyomshirikisha Walter Chilambo
Ni zaidi ya miezi saba imepita mashabiki hawajasikia ngoma mpya kutoka kwa Kala Jeremiah – Je unatamani kusikia ngoma mpya…
Kijana wa Mali aliyemuokoa mtoto ghorofani akutana na Rais, apewa uraia na kazi serikalini
Habari
May 28, 2018 - 2:09 pm
Kijana wa Mali aliyemuokoa mtoto ghorofani akutana na Rais, apewa uraia na kazi serikalini
Kijana raia wa nchini Mali, Mamoudou Gassam (22) ambaye Jumamosi iliyopita amefanya kitendo cha kishujaa cha kumuokoa mtoto mdogo ambaye…
Romy Jons afunguka kuhusu albamu yake, amewashirikisha wasanii wa Afrika na Marekani
Burudani
May 28, 2018 - 11:30 am
Romy Jons afunguka kuhusu albamu yake, amewashirikisha wasanii wa Afrika na Marekani
Romy Jons ambaye ni Dj wa Diamond Platnumz, amefunguka kuhusu albamu yake ambayo amepanga kuiachia mwaka huu. Akiongea na Kiss…
Picha: Baada ya ‘Siri’ Vanessa Mdee na Barnaba wajiandaa kuachia video ya ngoma yao mpya
Burudani
May 28, 2018 - 10:35 am
Picha: Baada ya ‘Siri’ Vanessa Mdee na Barnaba wajiandaa kuachia video ya ngoma yao mpya
Ni miaka mitatu imepita tangu tulipoona Vanessa Mdee na Barnaba waliposhirikiana kufanya ngoma ya ‘Siri’ ambayo ilifanikiwa kufanya vizuri sehemu…
Kijana wa Mali aonekana shujaa Ufaransa kwa kumuokoa mtoto ghorofani, Rais amuita Ikulu (+video)
Habari
May 28, 2018 - 10:07 am
Kijana wa Mali aonekana shujaa Ufaransa kwa kumuokoa mtoto ghorofani, Rais amuita Ikulu (+video)
Kijana Mamoudou Gassam (22) ambaye ni raia wa nchini Mali ameonekana shujaa baada ya kumuokoa mtoto ambaye alitaka kudondoka kutoka…