Video ya ‘Ntakufilisi’ ya Queen Darleen yatoweka YouTube
Burudani

Video ya ‘Ntakufilisi’ ya Queen Darleen yatoweka YouTube

Nini kimeikuta video ya wimbo wa ‘Ntakufilisi’ ya Queen Darleen? Video hiyo ambayo imetoka wiki iliyopita kwenye mtandao wa YouTube…
Picha: Selena Gomez na Justin Bieber wathibitisha ni wapenzi
Burudani

Picha: Selena Gomez na Justin Bieber wathibitisha ni wapenzi

Bado huamini kama Selena Gomez na Justin Bieber kama wamerudiana? Basi unatakiwa kuaamini hilo. Jumatano hii wawili hao wameonekana wakidendeka…
Davido asaini msanii mpya ndani ya lebo yake ya DMW
Burudani

Davido asaini msanii mpya ndani ya lebo yake ya DMW

Davido ameendelea kutanua himaya ya lebo yake ya Davido Music Worldwide (DMW) kwa kumsaini msanii mpya. Alhamisi hii muimbaji huyo…
Rafael Nadal atakiwa kulipwa shilingi 26m na waziri wa zamani Ufaransa
Michezo

Rafael Nadal atakiwa kulipwa shilingi 26m na waziri wa zamani Ufaransa

Mahakama ya nchini Ufaransa Alhamisi hii imeamuru waziri wa zamani wa afya na michezo kulipa nyota wa mchezo wa tenisi…
New Video: Remy Ma f/ Lil’ Kim – Wake Me Up
Videos

New Video: Remy Ma f/ Lil’ Kim – Wake Me Up

Rapper wa kike hatari duniani Remy Ma ameachia video ya wimbo wake mpya ambao amemshirikisha Lil’ Kim, Wake Me Up.…
Video: Dibo Dry – Maudanga
Videos

Video: Dibo Dry – Maudanga

Msanii Dibo Dry ameachia video ya wimbo wake mpya uitwao ‘Maudanga’. Video imeongozwa na Dexter Sattar.
Kesi ya Masogange mpaka 2018
Burudani

Kesi ya Masogange mpaka 2018

Leo Novemba 16, 2017, Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imesogeza mbele kesi ya mrembo wa video nchini Agnes Gerald maarufu…
Picha: Mafuriko yasababisha vifo vya watu 14 Ugiriki
Habari

Picha: Mafuriko yasababisha vifo vya watu 14 Ugiriki

Watu 14 wamefariki dunia na wengine wamejeruhiwa katika mafurika ya mvua ambayo yametokea nchini Ugiriki. Mafuriko hayo yametajwa kutokea katika…
New Music: Nandy – Kivuruge
Muziki

New Music: Nandy – Kivuruge

Msanii Nandy ambaye siku chache zilizopita ameshinda tuzo ya AFRIMA za nchini Nigeria, ameachia wimbo wake mpya uitwao ‘Kivuruge’. Wimbo…
The Weeknd na ex wake Bella Hadid warudiana tena!
Burudani

The Weeknd na ex wake Bella Hadid warudiana tena!

The Weeknd na Bella Hadid wamerudiana? Hilo ndio swali ambalo mashabiki wengi wanajiuliza kwa sasa. Kwa mujibu wa mtandao wa…
Mtanzania Emanuel Austin achagua wanafunzi 30 kwenye mashindano ya dansi Ujerumani
Burudani

Mtanzania Emanuel Austin achagua wanafunzi 30 kwenye mashindano ya dansi Ujerumani

Emanuel Austin ambaye ni mwalimu wa dansi nchini Ujerumani, amefanya uchaguzi wa wanafunzi ambao watashiriki katika mashindano ya mwakani. Akiongea…
Lukaku aweka rekodi mpya timu ya taifa Ubelgiji
Michezo

Lukaku aweka rekodi mpya timu ya taifa Ubelgiji

Mshambuliaji wa klabu ya soka ya Manchester United, Romelu Lukaku amefanikiwa kuweka rekodi mpya katika timu ya taifa ya Ubelgiji.…
Kim Kardashian aweka wazi jinsia ya mtoto wake ajaye
Burudani

Kim Kardashian aweka wazi jinsia ya mtoto wake ajaye

Kim Kardashian ameamua kuweka wazi jinsia ya mtoto wake ambaye anatarajiwa kuzaliwa mapema mwakani. Akiongea katika kipindi cha The Ellen…
Ujumbe wa mpenzi wa Cristiano Ronaldo baada ya kujifungua
Michezo

Ujumbe wa mpenzi wa Cristiano Ronaldo baada ya kujifungua

Mpenzi wa mchezaji bora wa dunia Cristiano Ronaldo, Georgina Rodriguez ametuma salamu zake ikiwa ni siku chache tangu alipojifungua mtoto…
Davido ajitengenezea rekodi mpya YouTube
Burudani

Davido ajitengenezea rekodi mpya YouTube

Davido anazidi kupata mafanikio kupitia muziki wake tangu aliporudi tena baada ya kukaa kimya kwa takribani mwaka mzima bila ya…
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents