Picha ya mtoto Jake wa Ghana yageuka kuwa meme maarufu duniani, aanza kuchangiwa fedha za kumsomesha
Habari

Picha ya mtoto Jake wa Ghana yageuka kuwa meme maarufu duniani, aanza kuchangiwa fedha za kumsomesha

Vipi pale ambapo picha yako uliyopigwa ukifurahia kuandika kitu kwenye karatasi inapogeuka kuwa gumzo duniani na meme maarufu zaidi? Imetokea…
New Video: Angel Benard – Kiu Yangu
Burudani

New Video: Angel Benard – Kiu Yangu

Wimbo mpya wa muimbaji wa nyimbo za injili, Angel Benard ‘Kiu Yangu.’ Video imeongozwa na Einxer.
Video: Dancer maarufu wa Nigeria, Kaffy amtukana Davido kwa kuwafukuza dancers wake
Burudani

Video: Dancer maarufu wa Nigeria, Kaffy amtukana Davido kwa kuwafukuza dancers wake

Dancer maarufu zaidi nchini Nigeria ambaye amefanya kazi na karibu kila msanii, amemtukana Davido kwenye Instagram kwa madai kuwa aliwafukuza…
New Music: SHiiKANE – Loke
Burudani

New Music: SHiiKANE – Loke

Following the success of their remix to hit single Tuele, SHiiKANE are set to take the African music scene by…
Sauti: Simulizi ya kusisimua ya kijana aliyezaa na kufunga ndoa na dada yake wa damu
Habari

Sauti: Simulizi ya kusisimua ya kijana aliyezaa na kufunga ndoa na dada yake wa damu

Kipindi cha Ubaoni cha EFM kimekuwa kikipata mikasa mingi ya maisha ya kusisimua kupitia sehemu yake ya ‘Ripoti.’ Hivi karibuni…
New Music: Redsan – Not Normal
Burudani

New Music: Redsan – Not Normal

Wimbo mpya kutoka kwa msanii wa dancehall kutoka Kenya, Not Normal. Umetayarishwa na Sappy.
Bifu: Filamu aliyocheza Fid Q ambayo hataki uione
Burudani

Bifu: Filamu aliyocheza Fid Q ambayo hataki uione

Kabla ya kupata tobo na kuwa mmoja wa wana hip hop wanaoheshimika zaidi Tanzania, Fid Q aliwahi kufanya mishe mishe…
WCB walimuwahi Shaa (SK Musik) na kumsainisha msanii huyu wa kike
Burudani

WCB walimuwahi Shaa (SK Musik) na kumsainisha msanii huyu wa kike

Label ya Shaa, SK Musik, ilizidiwa ujanja na Wasafi Records ya Diamond na kumwahi kumsainisha msanii wa huyu wa kike.…
Emanuel Austin aanzisha label yake, EMA Entertainment (Video)
Burudani

Emanuel Austin aanzisha label yake, EMA Entertainment (Video)

Muimbaji na mwalimu wa dance anayeishi nchini Ujerumani, Emanuel Austin, ameanzisha label yake – EMA Entertaiment. Ameiambia Bongo5 kuwa label…
New Music: MD Plantz – Lunch Time
Burudani

New Music: MD Plantz – Lunch Time

Msanii anayechipukia, MD Plantz ameurudia wimbo uliowahi kufanya vizuri miaka ya nyumba, Lunch Time na kuutengeneza katika mahadhi ya reggae.…
Video: Mboni kuwanyanyua wanawake nchini kwa kongamano la ‘Sauti ya Mwanamke’
Burudani

Video: Mboni kuwanyanyua wanawake nchini kwa kongamano la ‘Sauti ya Mwanamke’

Katika kuadhimisha miaka mitano tangu kuanza kwa kipindi chake cha runinga, The Mboni Show, Mboni Masimba amekuja na kongamano liitwalo…
Video: Diamond awasili kwenye mjengo wake wa SA, awapa madongo waliosema si wake
Burudani

Video: Diamond awasili kwenye mjengo wake wa SA, awapa madongo waliosema si wake

Afrika Kusini sasa imekuwa nyumbani kwingine kwa Diamond baada ya kununua nyumba ya kifahari iliyopo jijini Pretoria. Baada ya kutangaza…
Rais Magufuli ametajwa kuwania tuzo ya ‘Forbes Africa Person of The Year’, ingia hapa kumpigia kura
Habari

Rais Magufuli ametajwa kuwania tuzo ya ‘Forbes Africa Person of The Year’, ingia hapa kumpigia kura

Rais Dkt John Pombe Magufuli ametajwa kuwania tuzo ya ‘Forbes Africa Person of The Year.’ Anachuana na watu wengine wanne…
Sahara Media Group kupunguza wafanyakazi 100, yakanusha kununuliwa na Nation Media
Habari

Sahara Media Group kupunguza wafanyakazi 100, yakanusha kununuliwa na Nation Media

Kampuni kongwe ya habari nchini, Sahara Media Group itapunguza wafanyakazi wake takriban 100. Hiyo ni kwa mujibu wa taarifa iliyoitoa…
EFM yamburuza Paul James mahakamani kwa kuvunja mkataba, inataka ilipwe fidia ya shilingi milioni 200
Burudani

EFM yamburuza Paul James mahakamani kwa kuvunja mkataba, inataka ilipwe fidia ya shilingi milioni 200

Mtangazaji wa Clouds FM, Paul James aka PJ ameshtakiwa mahakamani na kituo cha redio cha EFM kwa kuvunja mkataba kinyemela.…
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents