Kocha wa Simba Patrick Aussems “Tumepangiwa kundi laini sana”
Michezo
December 29, 2018 - 10:42 am
Kocha wa Simba Patrick Aussems “Tumepangiwa kundi laini sana”
Kocha mkuu wa klabu ya Simba Mbelgiji Patrick Aussems amefunguka kuhusu kundi ambalo timu yake ya Simba imepangiwa yaani kundi…
Alikiba aeleza alivyojisikia baada ya kufunga goli lake la kwanza,alifananisha na goli la Pirlo (+Video)
Michezo
December 29, 2018 - 10:22 am
Alikiba aeleza alivyojisikia baada ya kufunga goli lake la kwanza,alifananisha na goli la Pirlo (+Video)
Msanii wa muziki wa kizazi kipya na mchezaji wa timu ya Coastal Union ya mkoani Tanga Ally Salehe Kiba alimaarufu…
MAKALA: Hawa ndio Watanzania 50 wenye ushawishi zaidi kwa mwaka 2018
Makala
December 29, 2018 - 7:33 am
MAKALA: Hawa ndio Watanzania 50 wenye ushawishi zaidi kwa mwaka 2018
Wakati tunakaribia ukingoni mwa mwaka 2018, Bongo5 Media Group imekuandalia makala maalumu ya watu 50 wenye ushawishi nchini Tanzania kwa…
Alikiba afunguka kitu maalumu atakachokifanya kwenye show yake, pia aitaja bei halisi ya Mofaya madukani (+Video)
Uncategorized
December 28, 2018 - 8:21 pm
Alikiba afunguka kitu maalumu atakachokifanya kwenye show yake, pia aitaja bei halisi ya Mofaya madukani (+Video)
Msanii wa muziki wa kizazi kipya Ally Salehe Kiba alimaarufu Alikiba amefunguka mwanzo mwisho kuhusu kile anachotarajia kukifanya kwenye show…
Young Dee arudi kivingine,ametuletea video mpya ya ‘Noma Kweli’ (+Video)
Videos
December 28, 2018 - 1:19 pm
Young Dee arudi kivingine,ametuletea video mpya ya ‘Noma Kweli’ (+Video)
Msanii wa muziki wa kizazi kipya, Young Dee ameachia video ya wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la “Noma kweli”.…
Mh Temba afunguka ujio wa TMK family pamoja na pia ujio wake kupitia wimbo wake wa ‘Kulikoni’ (+Video)
Uncategorized
December 28, 2018 - 1:04 pm
Mh Temba afunguka ujio wa TMK family pamoja na pia ujio wake kupitia wimbo wake wa ‘Kulikoni’ (+Video)
Msanii wa muziki wa kizazi kipya ambaye alikuwa miongoni mwa wasanii wanaounda kundi la TMK Waname family lililokuwa chini ya…
Aliyekuwa mchezaji wa Manchester United Memphis Depay aachia video ya wimbo wake “No Love” (+Video)
Uncategorized
December 28, 2018 - 10:26 am
Aliyekuwa mchezaji wa Manchester United Memphis Depay aachia video ya wimbo wake “No Love” (+Video)
Aliyekuwa mchezaji wa Manchester United na sasa akiitumikia klabu ya Lyon ktoka nchini Ufaransa pia akiitumikia timu yake ya taifa…
Mayweather aitangaza tarehe ya pambano lake na Nasukawa (+Video)
Michezo
December 28, 2018 - 9:58 am
Mayweather aitangaza tarehe ya pambano lake na Nasukawa (+Video)
Mbabe wa ndondi duniani kwenye uzito wa kati kutoka nchini Marekani Floyd Mayweather amefunguka na kutangaza rasmi tarehe ya pambano lake na…
Zari afunguka haya na kueleza jinsi alivyoutumia mwaka 2018 kurekebisha baadhi ya makosa yake
Burudani
December 26, 2018 - 2:27 pm
Zari afunguka haya na kueleza jinsi alivyoutumia mwaka 2018 kurekebisha baadhi ya makosa yake
Mwanamama Mjasiriamali, Zari ambaye pia ni mzazi mwenzie na msanii wa Bongo Fleva Naseeb Abduly alimaarufu Diamond Platnumz amefunguka mwanzo…
Barua ya Simba iliyokosewa na Manara, yamcharua Mh. Makamba
Michezo
December 26, 2018 - 12:48 pm
Barua ya Simba iliyokosewa na Manara, yamcharua Mh. Makamba
Katika Tweet yake ambayo aliiandika kwa ajili ya kuukosoa uongozi wa Simba, Mh. January Makamba ameuomba Uongozi wa klabu hiyo…
Klopp azitaja timu ambazo ziko kwenye mbio za ubingwa, aitosa United
Michezo
December 26, 2018 - 11:24 am
Klopp azitaja timu ambazo ziko kwenye mbio za ubingwa, aitosa United
Kocha wa Liverpool Jurgen Klopp amesema “hakuna mtu anayetakiwa kujiona ameshasalimika” katika mbio za ubingwa wa Premia huku akisisitiza kuwa…
Hii ndio orodha ya wasanii watakaoperform katika show ya funga mwaka na King Kiba
Burudani
December 26, 2018 - 10:58 am
Hii ndio orodha ya wasanii watakaoperform katika show ya funga mwaka na King Kiba
Msanii wa muziki wa kizazi kipya pia akiwa mchezaji wa timu ya Coastal Union ya mkoani Tanga Ali Salehe Kiba…
Mvutano juu ya ujenzi wa ukuta nchini Marekani wakwamisha shughuli za serikali siku ya nne
Habari
December 26, 2018 - 10:38 am
Mvutano juu ya ujenzi wa ukuta nchini Marekani wakwamisha shughuli za serikali siku ya nne
Pande zote mbili za kisiasa nchini Marekani bado zinavutana kuhusu ujenzi wa ukuta anaotaka kujenga Rais Donald kwenye mpaka na…
Juan Mata atoa ya moyoni baada ya kuondoka Mourinho” Huu ni wakati wa matumaini kwetu”
Michezo
December 25, 2018 - 1:16 pm
Juan Mata atoa ya moyoni baada ya kuondoka Mourinho” Huu ni wakati wa matumaini kwetu”
Mchezaji wa klabu ya Manchester United na taifa la Uhispania Juan Mata amefunguka na kutoa ya moyoni. Mchezaji huyo ambaye…
Idadi ya vifo vya watu walikufa na Tsunami Indonesia yazidi kuongezeka, watu zaidi ya 373 wapoteza maisha
Habari
December 25, 2018 - 11:34 am
Idadi ya vifo vya watu walikufa na Tsunami Indonesia yazidi kuongezeka, watu zaidi ya 373 wapoteza maisha
Idadi ya vifo iliyotokana na janga la kimbunga cha Tsunami kilichoikumba Indonesia inaendelea kuongezeka. Watu 373 wamethibitishwa kupoteza maisha na…