Kejeli za Haji Manara kwa wapinzani wao Yanga zawakera mashabiki wa timu hiyo
Michezo

Kejeli za Haji Manara kwa wapinzani wao Yanga zawakera mashabiki wa timu hiyo

Msemaji wa klabu ya Simba Haji Manara aendeleza kejeli zake kwa wapinzani wao wa kubwa Dar Young African,kutokana na kile…
MUSIC AUDIO: Nandy – Aibu
Muziki

MUSIC AUDIO: Nandy – Aibu

Mwanzamziki wa kike kutoka Tanzania Nandy ameachia Audio ya nyimbo yake mpya inayojulikana kwa  jina la Aibu. Nyimbo hii imetengenezwa…
Breaking: Mtangazaji wa Clouds Fm Soudybrown na msanii Maua sama wamekamatwa na Polisi (VIDEO)
Habari

Breaking: Mtangazaji wa Clouds Fm Soudybrown na msanii Maua sama wamekamatwa na Polisi (VIDEO)

Mtangazaji wa Clouds Fm Soudy Brown wa Shilawadu pamoja na muimbaji wa muziki, Maua Sama wanadaiwa kushikiliwa na Jeshi la…
Nandy afunguka mwanzo mwisho kuhusu kuacha kufanya muziki
Burudani

Nandy afunguka mwanzo mwisho kuhusu kuacha kufanya muziki

Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka Tanzania Faustina Charles Mfinanga alimaarufu Nandy amefunguka mwanzo mwisho kuhusu malengo yake ya kuachana…
Haya ndio maneno ya Bekham kwa Zlatan baada ya rekodi yake ya kufunga magoli 500
Michezo

Haya ndio maneno ya Bekham kwa Zlatan baada ya rekodi yake ya kufunga magoli 500

Mchezaji wa zamani wa Manchester United,Real Madrid,Psg na timu ya taifa ya England David Beckham amemsifia Mchezaji wa LA Gallaxy…
Msanii kutoka Nigeria Tiwa Savage aachwa solemba na Promota aliyempeleka Kenya
Burudani

Msanii kutoka Nigeria Tiwa Savage aachwa solemba na Promota aliyempeleka Kenya

Msanii kutoka Nigeria Tiwatope Savage-Balogun,alimaarufu Tiwa Savage amlaumu Promota aliyempeleka Kenya kwa kumuuacha solemba. Tiwa Savage amefunguka kupitia ukurasa wake wa…
Kimbuga kingine chaibuka Ufilipino na Hong Kong chasababisha vifo vya watu zaidi ya 30
Habari

Kimbuga kingine chaibuka Ufilipino na Hong Kong chasababisha vifo vya watu zaidi ya 30

Takriban watu thelathini wameuawa baada ya kimbunga Mangkhut kupiga kaskazini mwa Ufilipino.Wengi kati yao walikumbwa na maporomoko ya udongo yaliyosababishwa…
Mourinho athibitisha Luke Shaw yuko fiti na atacheza dhidi ya Watford Jumamosi
Michezo

Mourinho athibitisha Luke Shaw yuko fiti na atacheza dhidi ya Watford Jumamosi

Kocha w Manchester United Jose Mourinho amethibitisha kuwa beki wa kushoto wa timu hiyo Luke Shaw anauwezekano mkuwa wa kucheza…
Kanye West adhihirisha ukomo wa bifu lake na Drake kupitia mtoto wake “North”
Burudani

Kanye West adhihirisha ukomo wa bifu lake na Drake kupitia mtoto wake “North”

Haujapita muda sana tangu washikaji wawili mmoja kutoka Marekani na mwingine kutoka Canada hapa nawamaanisha Drake pamoja na Kanye West,ambao…
Cardi B amjibu Nicki Minaj kwa staili ya aina yake
Burudani

Cardi B amjibu Nicki Minaj kwa staili ya aina yake

Rapper wa kike kutoka Marekani Belcalis Marlenis Almanzar a.k.a Cardi B ameamua kumjibu mpinzani wake mkubwa kwa sasa Nicki Minaj kwa…
Teknolojia ya VAR kufanyiwa majaribio mechi hizi tano za EPL Jumamosi
Michezo

Teknolojia ya VAR kufanyiwa majaribio mechi hizi tano za EPL Jumamosi

Teknolojia ya kutumia video kuwasaidia waamuzi, maarufu kama VAR, itafanyiwa majaribio katika mechi kadha kwa pamoja Ligi Kuu ya England…
Imeripotiwa Kimbunga Florence , huenda kikawaua watu wengi sana Marekani
Habari

Imeripotiwa Kimbunga Florence , huenda kikawaua watu wengi sana Marekani

Upepo mkali unaotokana Kimbunga Florence ambacho kinatishia watu wengi Marekani kimeanza kupigia maeneo ya pwani ya mashariki ya Marekani.Maafisa wameonya…
MUSIC VIDEO: Ben Pol ft Harmonize- Why
Muziki

MUSIC VIDEO: Ben Pol ft Harmonize- Why

Msanii Ben Pol ameiachia video ya nyimbo yake aliyomshirikisha msanii kutoka WCB Wasafi Harmonize “Why”Msanii huyo wa RnB hapa Tanzania,…
Yafahamu Majiji matano masikini zaidi Duniani
Habari

Yafahamu Majiji matano masikini zaidi Duniani

Licha ya maendelea kuzidi kuongezeka katika baadhi ya nchi pamoja na miji mbalimbali katika maeneo husika lakini kumeendelea kuwa na…
MUSIC VIDEO: Aslay – Kwatu
Muziki

MUSIC VIDEO: Aslay – Kwatu

Msanii wa muziki wa kizazi kipya Aslay ameachia video ya nyimbo yake mpya nayojulikana kwa jina la Kwatu,ikifanywa na JOOWZEY…
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents