Mfahamu kiundani Rais mpya wa DR Congo, Felix Tshisekedi
Habari

Mfahamu kiundani Rais mpya wa DR Congo, Felix Tshisekedi

Felix Tshisekedi ni mtoto wa aliyekuwa kiongozi mahiri wa upinzani Etienne Tshisekedi aliyefariki dunia hivi karibuni. Je mtoto huyo anacho kifua…
Polisi nchini Marekani wataka DNA ya Cristiano Ronaldo kuchunguzwa, kufuatia madai ya ubakaji
Michezo

Polisi nchini Marekani wataka DNA ya Cristiano Ronaldo kuchunguzwa, kufuatia madai ya ubakaji

Polisi mjini Las Vegas wametoa waranti ya kuchunguzwa kwa chembe chembe za vinasaba au DNA ya Cristiano Ronaldo kama sehemu…
Harmonize atudokeza ujio wa kolabo yake na Burnay Boy (+ Video)
Burudani

Harmonize atudokeza ujio wa kolabo yake na Burnay Boy (+ Video)

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva kutoka katika lebo ya muziki ya WCB iliyochini ya Diamond Platnumz, Harmonize alimaarufu Konde…
Mkoba wa rais wa zamani wa Zimbabwe, Mgabe uliojaa Dola za Marekani waibiwa
Burudani

Mkoba wa rais wa zamani wa Zimbabwe, Mgabe uliojaa Dola za Marekani waibiwa

Watu watatu wamefikishwa mahakamani nchini Zimbabwe, wakishtakiwa kuiba mkoba uliokuwa na $150,000 (£117,600) pesa taslimu mali ya rais wa zamani…
Kufuru: Mayweather atuonyesha sehemu za utajiri wake na vitu vya thamani anavyomiliki (+ Video)
Burudani

Kufuru: Mayweather atuonyesha sehemu za utajiri wake na vitu vya thamani anavyomiliki (+ Video)

Bondia wa Marekani, Floyd Mayweather alimaarufu kama ‘Money Man’ ameibuka nakuanza kuonyesha baadhi ya sehemu zake za utajiri. Mbali na…
Daz Baba awacharukia wasanii wanao-copy na kuimba kwa kufanana (+ Video)
Burudani

Daz Baba awacharukia wasanii wanao-copy na kuimba kwa kufanana (+ Video)

Msanii mkongwe wa Hip Hop katika tasnia ya Bongo Fleva Daz Baba alimaarufu Daz Mwalimu afunguka mengi kuhusu muziki wa…
Tetesi za usajili barani Ulaya Alhamisi, Ramsey, Morata, Milenkovic, Rice, Tarkowski, Koulibaly na wengine sokoni
Michezo

Tetesi za usajili barani Ulaya Alhamisi, Ramsey, Morata, Milenkovic, Rice, Tarkowski, Koulibaly na wengine sokoni

Kiungo wa kati wa Arsenal na Wales Aaron Ramsey, 28, amekubali kujiunga Juventus mwezi Juni mwaka huu. (Guardian) Atletico Madrid…
Historia fupi ya nguli wa R&B, R. Kelly na chanzo cha tuhuma zinazomkabili za kuwarubuni mabinti kingono
Burudani

Historia fupi ya nguli wa R&B, R. Kelly na chanzo cha tuhuma zinazomkabili za kuwarubuni mabinti kingono

Wengi wanamjua kwa jina la R.Kelly lakini jina lake halisi ni Robert Sylvester Kelly, ambaye alizaliwa januari 8 ya mwaka 1967…
Liverpool yatolewa michuano ya FA, Man United uso kwa uso na Arsenal raundi ya nne
Michezo

Liverpool yatolewa michuano ya FA, Man United uso kwa uso na Arsenal raundi ya nne

Klabu ya Liverpool kutoka nchini Uingereza imeanza kutetereka baada ya kufungwa na klabu ya Wolverhampton Wanderers katika michuano ya FA ambayo ni michuano ya pili…
Serikali Gabon yasema hali ni shwari, kufuatia jaribio la jeshi kutaka kuipindua serikali
Habari

Serikali Gabon yasema hali ni shwari, kufuatia jaribio la jeshi kutaka kuipindua serikali

Waziri wa mawasiliano nchini Gabon anasema wanajeshi waaminifu kwa serikali ya Rais Ali Bongo wamefanikiwa kuzima jaribio la mapinduzi ya…
Ne-Yo, Smith wamtupia lawama R. Kelly, sakata la kuwanyanyasa mabinti kingono
Burudani

Ne-Yo, Smith wamtupia lawama R. Kelly, sakata la kuwanyanyasa mabinti kingono

Kufuatia sakata la kuwarubuni wasichana wadogo kingono, nguli wa R&B Marekani na Duniani kote Robert Sylvester Kelly alimaarufu R Kelly. Mkali huyo wa…
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents