Bongo Movie

Aunt Ezekiel kuachia wimbo aliomshirikisha Linex, ‘Mguu kwa Mguu’

Mwanadada wa filamu nchini, Aunt Ezekiel anatarajia kuachia wimbo wake wa kwanza unaitwao ‘Mguu kwa Mguu aliomshirikisha Linex Sunday. Wimbo huo umetayarishwa na Mr.T Touch wa Seductive Records.

page

Linex ameiambia Bongo5 kuwa Aunt Ezekiel amemchagua kufanya naYe wimbo kwasababu ni mwalimu mzuri wa muziki anayeweza kumuongoza mtu katika kipindi cha maandalizi ya nyimbo mpaka inatoka.

“Mimi ni mwalimu mzuri, niamuapo kufundisha, sipaniki kwasababu hii ni kazi yangu ambayo inaniendeshea maisha yangu, kwahiyo Aunt ameamua kunichagua mimi nifanye naye nyimbo kwasababu ameona mimi ninaweza kufanya kile ambacho anakihitaji kiwe kwenye nyimbo yake,” alisema Linex.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents