Bongo Movie

Aunt Ezekiel Afungua Pub

 

Kama ulikuwa huna habari msanii wa filamu nchini Tanzania Aunty Ezeckiel Gwantwa Jujuman amefungua PUB yake nzuri maeneo ya Biafra kinondoni.

Msanii huyo wa kike ambaye ana chati ya juu katika tasnia ya filamu bongo ameingia katika vitabu vya wajasiriamali wa sanaa baada ya kufungua Pub hiyo, Bongo5 inapenda kumpa pongezi kwa kitendo hicho cha busara.

Wadau mbalimbali walialikwa kuja kupata chakula na vinywaji kwa wingi.


Irene na Chopa nao walikuepo


Uwoya,Ino barchard,Fifi,The great pioneer na Maya kwa pamoja tukimuunga mkono msanii mwenzetu maeneo ya Biafra-kinondoni


Swahiba nae alikuepo


Mtumishi wa Mungu JB alikuepo katika kuiombea hiyo Pub


Adam Kuambiana akitoa neno


Haya ufunguzi ulifanyika hivi…Daudi ndie alifungua..


Keki ya pub ilikuwa hivi, sote tulikula


Mkurugenzi wa CREAM Pub Aunty Ezeckiel akimlisha keki CP


TID alifata


Nice Chande nae alikula kumpa sapoti rafike ye wa karibu


Swahiba baba akimung’unya keki kwa steps

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents