Burudani

August Alsina apata fahamu baada ya kuanguka jukwaani na kulazwa akiwa kwenye ‘coma’ kwa siku 3

Mwimbaji wa R&B kutoka Marekani anayefanya vizuri kwa sasa, August Alsina amepata fahamu baada ya kuwa kwenye ‘coma’ kwa siku tatu. August alianguka kwa kifafa na kuzimia jukwaani alipokuwa akitumbuiza, na kupelekea kulazwa kwenye wodi ya wagonjwa mahututi wiki hii.

August

Baada ya kupata fahamu Ijumaa (September 19) Alsina alipost picha yake ya hospitali na kuandika:

“This is a bit graphic but i wanted to share this w/ every follower of mine. iWoke up out of a 3 day coma… &This guy @banggang_moneyteam right here never once left my side. What I’m tryna say is cherish the ones in life who cherish you & take good care of yourself. Your life can be gone in a split second’. I’m recovering well and thankyou for all of your prayers & concerns. –Yung”

http://youtu.be/IQaZGp62HaA

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents