Hii ni kazi Mpya kutoka kwa Mtanzania anaye ishi Nchini Australia Ngoma hii ameimba kwa lugha tatu tofauti Kiswahili,Kiingereza na France ngoma imetengenezwa na Studio za Legendary Music na Urban Sour Rec Video ya ngoma hii inarajia kutoka hivi karibuni imetaarishwa na Director Fred Niyo’o kutoka Australia
Video Teaser ya All The Way