Burudani

Audio: ‘Washawasha Nonstop Mixx’ by DJ D-Ommy (New)

DJ D-Ommy wa Times FM ameendelea na mradi wake wa kuachia nonstop mix. Awamu hii ameachia mix aliyoipa jina la ‘Washa Washa’.

Washa washa.2.4MBjpg

“Safari hii ni tofauti kidogo sababu utapata kusikia mixing zangu kama kawaida na ngoma mpya kabisa kutoka kwa AY feat. LAMYIA & MS TRINITY” inayojulikana kwa jina la “ITS GOING DOWN”,” anasema Ommy.

“Non-Stop Mixx hii nimeipa jina la “WASHAWASHA NON-STOP MIXX” sababu ni moja kati ya style & skillz zangu ninazotumia katika KuDj ili kuleta ladha nzuri kwa msikilizaji wangu, si unajua mtu akiguswa na yale majani ya WashaWasha inavyokua? But hii ni WashaWasha ya Shangwe za burudani bora zaidi kutoka kwangu.”

“Hali kadhalika jina hili limebuniwa na JABIR SALEH ambaye nafanya naye kipindi cha THE JUMP kila siku za jumatatu mpaka ijumaa kuanzia saa mbili mpaka saa nne usiku ndani ya TIMES FM.”

Isikilize hapo chini.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents