Burudani

Audio: Top Ten ya nyimbo za Ngwair (Maalum kwenye siku yake ya kuzaliwa, Nov 16) Bongo5 Radio

Leo ni siku ya kuzaliwa ya marehemu Albert Mangwair. Kama angekuwa hai, leo angekua na umri wa miaka 31. Katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa, nimekuandalia kipindi maalum cha online (sehemu ya Bongo5 Radio) kuziangalia nyimbo zake 10 bora zaidi. Sikiliza hapo chini kipindi hicho chenye uchambuzi na story za hapa na pale. Enjoy.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents