Burudani
Audio: Teaser ya wimbo mpya ya Professor J ‘Tatu Chafu’ aliojishirikisha mwenyewe
Rapper mkongwe na CEO wa studio ya Mwanalizombe, Professor Jay ametoa teaser wa wimbo wake mpya ambao ameufanya mwenyewe lakini kwa sura tatu tofauti. Wimbo huo unaoitwa ‘Tatu chafu’ ameufanya Joseph Haule na kutumia ubunifu wa kujishirikisha mwenyewe kwa sura tatu za Professor Jay, J Hustle, na Nigga J.
“STAY TUNED… #TATU CHAFU #STRICKLY HIPHOP #MWANALIZOMBE # ALL DAY EVERYDAY”- Professor Jay