Habari

Audio: Navio ashirikishwa na hitmaker wa ‘Gangsta’ Mmarekani, Kat Dahlia kwenye remix ya ‘Clocks’

Rapper wa Klear Kut, Navio wa Uganda anazidi kuvuka boda. Baada ya kumshirikisha, Keith Sweat kwenye On and On, safari hii ameshirikishwa na msanii wa Marekani mwenye asili ya Cuba, Katriana Huguet aka Kat Dahlia. Kat amehit na wimbo wake Gangsta.

page

Ni kwenye remix ya wimbo wake mpya, Clocks ambayo ipo kwenye albam ya kwanza ya Kat, My Garden. Wimbo umetengenezwa na Salaam Remi aliyetengeneza Girl On Fire, ya Alicia Keys.

2013 SXSW Music, Film + Interactive Festival - Day 8

[soundcloud url=”https://api.soundcloud.com/tracks/116382312″ width=”100%” height=”166″ iframe=”true” /]

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents