Burudani

Audio: Mike Tyson aachia kionjo cha diss kwa Soulja Boy

By  | 

Mike Tyson anazidi kupigilia msumari kwenye mfupa, ameachia kionjo cha wimbo akiwa na Chris Brown ambao amemdiss rapper Soulja Boy.

Wimbo huo unaitwa ‘If You Show Up’. “If you show up, it’s going down. I’m gonna teach him how to knock your ass down,” amerap Tyson katika wimbo huo.

Hata hivyo wimbo huo bado haujakamilika na kwamba Chris Brown ataingia sauti zake hivi karibuni na kufanyika video yake, kwa mujibu wa TMZ.

Imeripotiwa kuwa kutakuwa na pambano la ngumi la raundi tatu kati ya Chris Brown na Soulja Boy huku mabondia wastaafu Floyd Mywearther na Mike Tyson wakithibitisha kuwa walimu wa wasanii hao kuelekea pambano hilo la mwezi March.

Jiunge na Bongo5.com sasa

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook, Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Bongo5!

Add a comment

comments