Habari

Audio: Hussein Machozi aachia single mpya aliyowashirikisha Sauti Sol wa Kenya ‘UTAPENDA’

Hussein Rashid aka Hussein Machozi aendelea kufungua njia za kujitangaza kimataifa baada ya kufanya collabo na wasanii wakubwa na wenye mafanikio barani Afrika na nje wa kundi la SAUTI SOL kutoka Kenya.

hussein-na-baraza
Hussein Machozi na Baraza wa Sauti Sol

Machozi ameachia single mpya aliowashirikisha Sauti Sol inayoitwa ‘Utapenda’, iliyofanywa jijini Nairobi miezi kadhaa iliyopita.

Huu ni wimbo wa mapenzi ambao Machozi na Sauti Sol wanasifia mapenzi ya nchi zao, Hussein akiwaambia jinsi ambavyo mabinti wa kibongo wanavyojua kupenda, huku Sauti Sol wakisifia jinsi mapenzi ya Kenya yalivyo matamu, mwisho wa siku ‘Utapenda’.

Sikiliza hapa

[soundcloud url=”https://api.soundcloud.com/tracks/121949865″ width=”100%” height=”166″ iframe=”true” /]

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents