Burudani

Audio: Chris Brown na Tyga waachia single mpya ‘Ayo’ kutoka kwenye album yao ya pamoja

Mwimbaji wa R&B Chris Brown na rapper Tyga wameungana kwa mara nyingine kufanya album ya pamoja iitwayo “Fan of a Fan 2” ambayo inatarajiwa kutoka 2015.

http://youtu.be/9yzqlURj8UA

Mastaa hao wametoa single ya kwanza ‘Ayo’ inayotambulisha album hiyo, wimbo ambao umetengenezwa na producer aliyetengeneza ‘Loyal’ ya Breezy aitwaye Nic Nac.

“Fan of a Fan 2” ni album ambayo mwanzoni ilipangwa kutoka 2012, ikiwa inafuata baada ya mixtape yao ya pamoja ya 2010 ‘Fan of a Fan’ iliyotoa singles kama ‘Dueces’.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents