Burudani

AT ajichimbia Mombasa kumpigia debe mgombea ugavana wa Mombasa wa ODM

at 2

Mfalme wa kizazi kipya cha mduara nchini Tanzania, AT kwa zaidi ya mwezi sasa amejichimbia mjini Mombasa, Kenya ambako amekuwa akimpigia debe mgombea wa ugavana wa Mombasa, Hassan Ali Joho wa ODM.

AT ameiambia Bongo5 kuwa siku zote hupenda maendeleo na kushirikiana na watu wenye nia njema na watu wao na ndio maana amewataka wananchi wa Mombasa kumchagua kiongozi huyo.

“Watu wa Mombasa wampigie kura Hassan Ali Joho kwasababu ni mkarimu, mwenye imani na huruma so Mombasa mpya itakuwa ya kuvutia sana gavana akiwa Joho,” anasema AT. Pia AT amewaombea wakenya uchaguzi mwema na wa amani mwezi ujao.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents