Burudani

Aslay adai Yamoto Band haiwezi kushuka kwasababu wamejipanga kikamilifu

Msanii wa muziki kutoka Yamoto Band, Aslay amesema wamejipanga vizuri kwenye Band kuhakikisha hawadondoki na kupotea kwenye game ya muziki.

Aslay

Aslay ameiambia Bongo5 kuwa kama msanii utaweza kujipanga kikamilifu kwenye kazi ya muziki ni vigumu kushuka.

“Mkiwa vizuri na mnashukuru mwenyezi Mungu itakuwa vigumu kuanguka sisi kama Yamoto Band, ukiangalia kuanzia kwenye uongozi na wasanii wapo vizuri, lakini sisemi kwa wasanii wote mimi nasema kwa akili yangu sijafikiria kufanya kitu cha kijinga chochote kitakacho poteza muziki wangu,” alisema Aslay.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents