Burudani

Ariana Grande asitisha safari ya Hispania kwa hofu ya Ebola

Ugonjwa wa Ebola ni tishio kwa kila mtu kwa sasa duniani ndio maana muimbaji wa Marekani Ariana Grande, 21, ameamua kusitisha safari ya Hispania.

Ariana-Grande-image-ariana-grande-36138225-1024-768

Kutokana na hofu hiyo, mrembo huyo aliamua kuelekea Paris na Hispania ataenda hadi mwezi ujao.

Hadi sasa kumekuwepo na kesi nne za Ebola nchini Hispania ambapo hata hivyo wagonjwa wote hawakukutwa na virusi hivyo.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents