Burudani

Angelina Jolie na Brad Pitt wafunga ndoa

Waigizaji wa Hollywood, Angelina Jolie na Brad Pitt wameripotiwa kufunga ndoa Jumamosi iliyopita katika sherehe ndogo iliyohudhuriwa na familia pamoja na marafiki huko Ufaransa.

Jolie and pitt

Miongoni mwa waliohudhuria harusi yao ni pamoja na watoto wao sita.

Pitt (50) na Jolie (39) walianza uhusiano mwaka 2005 wakati wanafanya kazi ya filamu ya Mr and Mrs Smith, na walianza uchumba mwaka 2012 ikiwa ni miaka saba toka waanze uhusiano. Wamefunga ndoa wakiwa na miaka tisa ya uhusiano.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents