Michezo

Angel Di Maria asaini mkataba wa miaka mitano Man United

Nyota wa Argentina na kiungo aliyeng’ara kwenye kombe la dunia, Angel di Maria hatimaye amekuwa mchezaji wa Manchester United kwa dau la Pauni Milioni 59.7 kutoka Real Madrid.

1409077679721_wps_1_Manchester_United_ManUtd_

Winga huyo wa Argentina amesaini mkataba wa miaka mitano Old Trafford ambao utamfanya apate mshahara wa Pauni Milioni 6.5 kwa mwaka baada ya kodi.

Hiyo itamfanya mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 26 awe nyuma ya nahodha wa United, Wayne Rooney kwa kulipwa mshahara mkubwa.

1409078188487_wps_12_MANCHESTER_ENGLAND_AUGUST
Makamu Mwenyekiti, Ed Woodward akitia saini mkataba na Di Maria

1409078724916_wps_3_Manchester_United_ManUtd_
Angel di Maria akikabidhiwa jezi ya Manchester United na kocha Louis van Gaal

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents