BurudaniMichezo

Angel Di Maria aongoza kwa kuuza jezi ligi kuu ya England

Licha ya kutofanya vyema uwanjani, mchezaji wa Manchester United, Angel Di Maria ameongoza kwa mauzo ya jezi yake katika ligi kuu ya England kwa mujibu wa muuzaji wa reja reja wa duka la Sports Direct ambaye anauza jezi za timu za Arsenal, Aston Villa, Chelsea, Liverpool, United,Manchester City,Tottenham na Newcastle.

Dimaria

Jezi ya mchezaji ya mchezaji huyo imekuwa ikiuliziwa na mmoja karibu kila wanunuzi wa jezi tofauti 10 .

Jezi ya mchezaji huyo inachukua asilimia 9.59 ya soko la jezi za wachezaji akifutiwa na Alexis Sanchez.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents