Habari

Andele Lara: Msichana anayeingiza mkwanja mrefu kwa kufanana na Rihanna (Picha)

Kufanana na staa kama Rihanna kunaweza kukupa maisha matamu, kama anayoyapata Andele Lara, msichana mwenye miaka 22 ambaye ni kama pacha wa bmuimbaji huyo wa ‘Diamonds’

234A859F00000578-2840834-image-30_1416402662783

Andele, mwanafunzi wa Boston, Massachusetts anafanana mno na Rihanna kiasi ambacho haiwezi kupitia siku bila kuzungukwa na mashabiki wanaodhani ni Rihanna.

234A802800000578-2840834-image-37_1416403094313

Mashabiki humfuata Andele kila apitapo mtaani kutaka wapige naye picha huku makampuni kibao yakimlipa fedha ili ayape mashavu.

‘Hii inatokea kila siku, haijalishi ninachofanya. Haziwezi kupita saa 24 bila kusikia jina la Rihanna,” msichana huyo aliliambia Daily Mail. Msichana huyo anafikiria kuacha kazi na kuishi kama msichana anayefanana na Rihanna kama kazi inayomuingizia kipato.

234A7FF500000578-2840834-image-25_1416402639047

234A851B00000578-2840834-image-23_1416402627539

234A867C00000578-2840834-image-36_1416402980295

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents