Habari

Amini afiwa na kaka yake aliyekuwa akiishi Afrika Kusini

Muimbaji na mtunzi wa nyimbo, Amini Mwinyimkuu anayefanya vizuri na wimbo wake ‘Asante’ amepata msiba kwa kufiwa na kaka yake wa tatu aitwaye Kipara Mwinyimkuu aliyekuwa akiishi nchini Afrika Kusini.

Amini

Amini ameiambia Bongo5 kuwa msiba upo kwao Kinondoni Msisiri na wanafanya taratibu za kuuleta mwili Dar es Salaam.

Related Articles

Check Also
Close
Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents