Burudani

Aliyevunja tamasha la T.I kwa kusababisha mauaji akamatwa na polisi

Baada ya kuvunjika kwa tamasha la T.I, Mei 25 kwenye ukumbi wa Irving Plaza, New York baada mtu mmoja kufyatua risasi na kusababisha mauaji ya mtu mmoja [Ronald MC Phatter.] na kujeruhi watu watatu, polisi wamemkamata mtuhumiwa wa tukio hilo.

160525-T.I.-827x620

Mtuhumiwa huyo ambaye ni rapper wa Marekani anayejulikana kama Troy Ave, anatuhumiwa kwa kufanya tukio hilo la mauaji na kujeruhi kutokana na kamera zilizopo kwenye ukumbi.

ndugai1
Troy Ave, mtuhumiwa wa mauaji

Kutokana na tukio hilo lililotokea rapper T.I amepost Instagram kwa kuandika: “My heart is heavy today. Our music is intended to save lives, like it has mine and many others. My heartfelt condolences to the family that suffered the loss & my prayers are with all those injured. Respectfully, Tip.”

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents