Burudani

Alikiba, Redsan, STL, Radio na Weasel kutumbuiza kwenye uwanja wa Nyayo, Kenya July 10

Alikiba ataongoza (headline) show kubwa iliyopewa jina ‘It’s Big’ itakayokutanisha mastaa wengine wa Kenya na Uganda.

13380988_1606288906328801_1106786356_n

Show hiyo itafanyika kwenye uwanja wa Nyayo uliopo jijini Nairobi, Kenya wenye uwezo wa kuchukua watu 30,000, July 10.

Wasanii wengine watakaopanda jukwaani ni Redsan, Stella Mwangi aka STL, Radio and Weasel wa Uganda na wengine.

Hiyo inakuwa show kubwa zaidi kwa Alikiba tangu asaini deal na Sony Music.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents