Burudani
Alikiba, Jokate, Godzilla, Belle 9, Ben Pol kuupamba usiku wa ‘Diva with Friends’ Jumapili hii
Hitmaker wa Chekecha, Alikiba, Jokate Mwegelo, Belle 9 na Godzilla ni miongoni mwa wasanii watakaoipamba show ya ‘Diva with Friends.’
Show hiyo itakayofanyika Jumapili hii Club Bilz, imeandaliwa na mtangazaji wa Clouds FM, Loveness Diva kupitia kampuni yake ya Divas Wild Events.
Wasanii wengine watakaotumbuiza ni pamoja na Ben Pol, Billnass na Abdu Kiba.