BurudaniPicha

Alikiba arekodi wimbo na Yvonne Chaka Chaka

Tarajia wimbo wa Alikiba akiwa na mwanamuziki mkongwe wa Afrika Kusini, Yvonne Chaka Chaka. Wawili hao wameingia studio wiki hii kurekodi wimbo huo jijini Johannesburg, ambako Kiba alikuwa ameenda kutumbuiza kwenye tuzo za Mkhaya Migrants [Awards].

Alikiba akiwa na Yvonne Chaka Chaka pamoja na Matthew Mensah wa kampuni ya PR, Creative Mind Space

Bosi wa kampuni ya PR, Creative Mind Space, Matthew Mensah amepost picha hiyo juu na kuandika:

In presence of Greatness: Studio Time with East Africa’s KingKiba aka @officialalikiba & The Legend & my Humanitarian rolemodel ; Our African Queen; Yvonne Chaka Chaka. Such an honour to be around You Mama Yvonne. You truly are an African Queen in every sense of the word. And My Bro Kiba, Your talent, good heart & professionalism will take you to heights in 2017 that people didn’t think possible before.
Proud Executive Producer together with my homie @shillymingz …Thank You Bro. AFRICAN MAGIC ???? & Thank You @sevenmosha for being so brilliant & the motor in this amazing project. & ofcourse Thanks to our friend who introduced all @rio_the_stylist

Naye meneja wa Alikiba, Seven Mosha, amepost picha Instagram akiwa na Chaka Chaka na kuandika: One of the most special moments in my entertainment lifespan. It was a privilege meeting Mama @yvonne_chakachaka and working on a very important project that is dear to your heart and historical to us. I hope we did you proud. Thank you thank you for being you.”

Kwenye picha nyingine ambayo inamuonesha Kiba akizungumza na muimbaji huyo mkongwe, Seven ameandika: One of the most special moments in my entertainment lifespan. It was a privilege meeting Mama @yvonne_chakachaka and working on a very important project that is dear to your heart and historical to us. I hope we did you proud. Thank you thank you for being you.”

Kwa upande wake Alikiba, aliweka picha akiwa na Yvonne akimpa ua na kuandika:

It was a great honor and pleasure to meet Mama Yvonne Chaka Chaka who I have loved and admired all my life . Thank you for hosting us and sharing your memories, advices and guidance. I am truly grateful and looking forward to our project.”

Yvonne Chaka Chaka aliyezaliwa kwa jina, Yvonne Machaka mwaka 1965, ni mwanamuziki anayeheshimika zaidi Afrika Kusini huku pia akijihusisha na masuala ya misaada ya kibinadamu na ualimu. Alipewa jina la ‘Princess of Africa’ kwa mafanikio makubwa kimuziki aliyoyapata kwa miaka 27. Nyimbo zake zilizotamba ni pamoja na I’m Burning Up, Thank You Mister DJ, I Cry for Freedom, Makoti, Motherland na Umqombothi ambao ulitumika kwenye filamu ya mwaka 2004, Hotel Rwanda.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents