Burudani
Alicia Keys apata Baby Boy
Alicia Keys na Mume wake, Producer Swizz Beatz wamebrikiwa mtoto wa kiume.
Mwanamuziki huyo alipelekwa hospitali majira ya saa mbili usiku mjini New York alipojifungua mwanae wa kwanza Egypt Dauode Dean.
Afya ya mama na mtoto ni nzuri na B5 inawatakia kila la kheri.