Burudani

Ali Kiba kushuhudia ‘live’ mechi ya UEFA kati ya Bayern na Man City leo mjini Munich

Hit maker wa ‘Single Boy’ Ali Kiba, anatarajia kushuhudia live mechi ya UEFA Champions League nchini Ujerumani kati ya Bayern Munich v Manchester City inayotarajiwa kuchezwa leo saa 4:45 usiku kwa saa za Afrika Mashariki.

Ali Kiba akiwa nchini Ujerumani.
Ali Kiba akiwa nchini Ujerumani.

Ali K ambaye yupo nchini Ujerumani, ameonesha kuwa ni yeye ni miongoni mwa mashabiki wa mpira dunia ambao leo wanatarajia kushuudia michezo 8 za UEFA Champion League itakayochezwa katika viwanja mbalimbali hii leo.

“To munich kuangalia mpira leo Manchester city & Munich I can wait”.Aliandia Ali Kupitia Instagram yake.

UEFA Champions League leo December 10, itakuwa na michezo kama ,Manchester United vs Shakhtar Donetsk, Real Sociedad vs Bayer Leverkusen, Galatasaray vs Juventus, København vs Real Madrid, Benfica vs PSG,Olympiakos Piraeus vs Anderlecht ,Bayern München vs Manchester City pamoja na Viktoria Plzeň vs CSKA Moskva ambazo zote zitachezwa saa 4:45 usiku.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents