Burudani

Ali Kiba: ‘Collabo na Diamond ni ‘mfano wa kudeki bahari’ haitatokea kamwe

Unategemea kusikia collabo ya Diamond Platnumz, Ali Kiba na Ommy Dimpoz? Kama una ndoto hiyo, basi iondoe kabisa kwasababu kwa mujibu wa Ali Kiba, kuwepo kwa collabo hiyo ni sawa na kudeki bahari, haiwezekani.

page
kiba

Diamond na Ali Kiba ni paka na panya na kamwe mafahari hawa wawili hawawezi kukaa kwenye zizi moja.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents