Burudani

Ali Choki kupunguza urefu wa nyimbo za bendi yake, adai ni kuendana na mahitaji ya soko

Kiongozi wa bendi ya Extra Bongo, Ali Choki amesema kuanzia album yake ijayo, nyimbo za bendi hiyo zitakuwa fupi.

choki

Akiongea na TBC One, Choki amesema wamebaini kuwa soko la sasa halihitaji nyimbo ndefu zinazoonesha kuwachosha watu. Nyimbo nyingi za dance huwa na dakika kuanzia 8 hadi 12 au na zaidi wakati nyimbo za Bongo Flava huanzia dakika 4 hadi 4 au 5.

Katika hatua nyingine bendi hiyo inayotarajia kuanza ziara ya nchi nzima, imemrejesha kundi muimbaji mkongwe, Banza Stone.

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents