Burudani

Albamu ya Dj Khaled ‘Major Key’ yaanza kupatikana kwenye mtandao wa Apple Music

Albamu mpya ya Dj Khaled ‘Major Key’ imeanza kupatikana kwenye mtandao wa Apple Music.

dj-khaled-major-key-cover

Msanii huyo ameachia albamu hiyo iliyotangazwa kutoka leo yenye nyimbo 14 akiwa chini ya menejimenti yake mpya ya Roc Nation inayomilikiwa na rapper Jay Z, kupitia akaunti yake ya twitter ameandika, “#Major officially on iTunes now !!! FANLUV!!! Let’s go!!!!!!.”

Hizi ni nyimbo zilizopo kwenye albamu hiyo:

1. “I Got the Keys” (feat. JAY Z & Future)
2. “For Free” (feat. Drake)
3. “Nas Album Done” (feat. Nas)
4. “Holy Key” (feat. Big Sean, Kendrick Lamar & Betty Wright)
5. “Jermaine’s Interlude” (feat. J. Cole)
6. “Ima Be Alright” (feat. Bryson Tiller & Future)
7. “Do You Mind” (feat. Nicki Minaj, Chris Brown, August Alsina, Jeremih, Future & Rick Ross)
8. “Pick These Hoes Apart” (feat. Kodak Black, Jeezy & French Montana)
9. “F**k Up the Club” (feat. Future, Rick Ross, YG & Yo Gotti)
10. “Work for It” (feat. Big Sean, Gucci Mane & 2 Chainz)
11. “Don’t Ever Play Yourself” (feat. Jadakiss, Fabolous, Fat Joe, Busta Rhymes & Kent Jones)
12. “Tourist” (feat. Travis Scott & Lil Wayne)
13. “Forgive Me Father” (feat. Meghan Trainor, Wiz Khalifa & Wale)
14. “Progress” – Mavado

Related Articles

Back to top button

Adblock Detected

Please don't block our ads, we rely on these ads to serve you with credible contents